Searching...
Jumapili, 21 Aprili 2013

KINANA AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI MJINI MOROGORO.

 Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM wilaya ya Morogoro mjini, asubuhi ya leo katika ukumbi wa VETA mkoani Morogoro. Wengine kulia ni Mbunge wa Morogoro mjini Mohammed Aziz Abood, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu wa CCM wilaya ya Moro mjini  Fukiri Juma na kulia (kushoto wa pili) Innocent Karogelesi
Wajumbe wa nyumba kumi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, alipozungumza nao  kwenye ukumbi wa VETA mjini Morogoro.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!