Searching...
Jumapili, 21 Aprili 2013

ANGALIA LOWASA ALIVYOTUA IRINGA KWA KISHINDO.

Kaimu Meya wa manispaa ya Iringa Vitus Mushi (kushoto) akisalimiana na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa baada ya kutua uwanja wa ndege wa Nduli Iringa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Teresia Mahongo akimpokea Lowassa.

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa mwanahabari Tumain Msowoya akisalimiana na Lowassa



;">
kada wa CCM Bw Lazaro akisalimiana na Lowassa

Mfanyakazi wa radio Overscomers Fm Adela kivamba akisalimia na Lowassa
Mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini Mendrady Kigola akijitambulisha mbele ya Lowassa
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa neno mbele ya Lowassa kwa kuwataka viongozi wa serikali kujisahihisha kuwa mambo yanavyokwenda sivyo yanavyotakiwa kwenda
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola pacha wa Filikunjombe akinena jambo


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!