Home
»
Unlabelled
» BENK YA DUNIA KUIKWAMUA TANZANIA KIUCHUMI
Pichani
juu ni wajumbe wa Tanzania Katika Majadiliano na Ujumbe wa Benki ya
Dunia Juu ya Namna ya Kuboresha Utendaji na Kuliletea Maendeleo Taifa.
Kutoka
kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. Silvacius Likwelile
pamoja na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip
Mpango akiwasilisha mpango wa maboresho katika Elimu, Maji, Nishati,
Usafirishaji, Rasilimali Fedha na Kilimo.
Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw.
Philippe Dongier akifafanua jambo katika majadiliano hayo.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia katikati akifafanua jambo wakati wa
majadiliano, kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania,
Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier. (Picha zote na Bi.
Ingiahedi Mduma na Bi. Eva Valerian – Washington DC)
0 comments:
Chapisha Maoni