Kamanda
wa polisi mkoa Kigoma Fraiser Kashai akionyesha noti bandia zenye
thamani ya shilingi 200,000 sambamba na risasi 1200 ambazo alikamatwa
nazo mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu.
Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Fraiser Kashai akionyesha moja ya magobore mawili yaliyokamatwa katika msako uliofanywa na polisi mkoani kigoma sambamba na risasi 1200 ambazo alikamatwa nazo mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu
WAANDISHI WA HABARI WAKIMSIKILIZA KAMANDA KWA MAKINI
NOTI BANDIA ZILIZOKAMATWAKamanda wa polisi mkoa Kigoma Fraiser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya magobore mawili yaliyokamatwa katika msako uliofanywa na polisi mkoani kigoma sambamba na risasi 1200 ambazo alikamatwa nazo mtu mmoja anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu.
Picha zote kwa hisani ya kaka yangu DEOGRATIUS NSOKOLO
0 comments:
Chapisha Maoni