Searching...
Alhamisi, 4 Aprili 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA APRIL O4,ALHAMISI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 04/04/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza  na  Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:

Hali ya mawingu kiasi , mvua na  ngurumo  katika  maeneo  machache na vipindi  vya jua.
[Mikoa ya Dar es Salaam,Tanga na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Rukwa ,Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Ruvuma]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua  katika  maeneo  machache na vipindi  vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
12:44
D'SALAAM
32°C           
12:33
DODOMA
29°C
12:47
KIGOMA           
28°C
01:11
MBEYA
25°C
12:56
MWANZA
28°C
12:58
TABORA
28°C
12:59
TANGA
33°C
12:34
ZANZIBAR
32°C           
12:33
PEMBA
                     31°C
12:29
MOROGORO
31°C
12:35

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini mashariki kwa  kasi ya km 20 kwa saa kwa
Pwani ya  Kaskazini na kutoka Mashariki kwa kasi ya km 10 kwa saa kwa pwani ya kusini

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo madogo

Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 04/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 04/04/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!