Searching...
Jumanne, 23 Aprili 2013

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA FALME ZA KIARABU IKULU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo leo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo leo.
Picha na OMR

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!