WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA
KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
21/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mikoa ya Rukwa na Morogoro
]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,
mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya
jua.
|
[Mkoa wa Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida
]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
25°C
|
12:33
|
D'SALAAM
|
33°C
|
12:19
|
DODOMA
|
30°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:59
|
MBEYA
|
25°C
|
12:40
|
MWANZA
|
27°C
|
12:49
|
TABORA
|
29°C
|
12:47
|
TANGA |
29°C
|
12:22
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:19
|
PEMBA
|
29°C
|
12:22
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:26
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka kusini kwa kasi ya km 20 kwa saa katika
Pwani ya Kaskani na kutoka kusini mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa pwani
ya kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumapili 21/04/2013 Mabadiliko
kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 21/04/2013
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni