TAARIFA ILIYORUSHWA HIVI PUNDE (BREAKING NEWS)KUTOKA KITUO CHA RADIO ONE STEREO ZINASEMA KUNA AJALI MBAYA IMETOKEA ENEO LA WAMI MUDA HUU AMBAPO IMEHUSISHA BASI LA MASAMA NA KAMANDA WA POLISI MKOANI PWANI AMESIKIKA AKISEMA HABARI ZAIDI ATAZITOA KATIKA KITUO HICHO MUDA MFUPI UJAO KWANI MUDA HUU NDIO ANAELEKEA KATIKA ENEO LA TUKIO HIVYO HAJUI KAMA KUNA WATU WAMEKUFA AU WAMEJERUHIWA KUFUATIA AJALI HIYO
HABARI ZAIDI NA PICHA ZA AJALI HIYO UTAZIPATA KUPITIA BLOG YAKO HII HII MAKINI-ENDELEA KUFUATILIA
Chanzo cha Habari na Radio One Stereo.
Jumamosi, 13 Aprili 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni