Searching...
Jumamosi, 13 Aprili 2013

ZAIDI YA ABIRIA 60 WANUSURIKA KATIKA AJALI YA BASI.


ZAIDI YA ABIRIA 60 WAMENUSURIKA KATIKA AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA OSAKA ENEO LA KIMOLI WILAYANI HAI MKOANI KILIMANJARO LIKIWA LINATOKEA JIJINI ARUSHA KWENDA JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI YA LEO.
Picha na habari kwa hisani ya mkuu wa wilaya ya Hai Bw.NOVATUS MAKUNGA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!