Searching...
Jumapili, 14 Aprili 2013

TAJIRI MKUBWA NCHINI TANZANIA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEDE ARUSHA

TAJIRI MKUBWA NA MFANYIBIASHARA MAARUFU NCHINI TANZANIA BWANA ALVET BABU SAMBEKE AMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE ILIYOTOKEA JIJINI ARUSHA  USIKU WA KUAMKIA HII LEO KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ARUSHA.

TAARIFA ZAIDI ZINASEMA NDEGE HIYO AMBAYO NI MALI YA MAREHEMU ILIKUA NA RUBANI PEKEE (MAREHEMU) NA CHANZO CHA AJALI HIYO KIMEELEZWA KWAMBA NI KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA MKOANI HUMO.
TAARIFA ZAIDI NA PICHA ZITAKUJIA KUPITIA BLOG YAKO HII HII YA UHAKIKA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!