Mchezaji wa Atletico Madrid Mario Mandzukic akimlalamikia mwamuzi baada ya kuchezewa vibaya na mchezaji wa Real Madrid katika mechi ya kwanza ya kusaka tiketi ya kucheza robo fainali ya klabu bingwa ulaya ambapo timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya bila kufungana.
Mchezaji wa Real Madrid Christian Ronaldo akiruka juu kucheza mpira kwa kichwa katika mechi ya watani wa jadi iliyokua kali na ya kihistoria
Wachezaji wakitoana jasho huku uwanja ukiwa umefurika mashabiki wa timu hizo kongwe nchini Hispania.
Kikosi cha timu ya Atletico Madrid kilichochuana na Real Madrid.
Kikosi cha timu ya Real Madrid kilichochuana na Atletico Madrid.
0 comments:
Chapisha Maoni