Searching...
Jumatano, 31 Desemba 2014

TUSUPPORT VYA KWETU, TANZANIA INA VIPAJI!!

Tupende na tuuenzi utamaduni na asili yetu watanzania, Ak'O-Mpiruka sound band ni kikundi cha vijana wa kitanzania wenye vipaji lukuki ikiwemo kupiga na kucheza muziki wa asili, kucheza na nyoka, kucheza na moto, kujinyonga viungo, sarakasi na vingine vingi.



Ukiwa na Ak'O-Mpiruka sound ni burudani tu


Utashawishika haswa ukiwaona wanafanya mambo yao LIVE katika shughuli yoyote ile mahali popote iwe ni Harusi,Tamasha, Hotelini, Mjumuiko wa watu, Mjumuiko wa Makampuni na au Matukio Maalum




Embu tazama jinsi vijana hawa wa kitanzania wanavyotumia vizuri vipaji vyao,Bonyeza link hapo chini.

https://www.youtube.com/watch?v=YvHr-T4Es0E


Ak'O-Mpiruka sound New song ASUBUHI

http://hu.lk/rtttstvcj9q8


Tuuenzi Utanzania, Tusupport vya kwetu


www.akomungoma.co.tz

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!