ule msemo wa wahenga kwamba mwenye bahati habahatiki ndio unaendelea kutimia kwa mzee wetu kocha mbahili duniani mfaransa mpenda pesa kuliko wachezaji Arsene Wenger pale anapobahatika kwa kusikia kauli njema kutoka kwa mchezaji nyota wa Barcelona Alexis Sanchezi anapoikatalia klabu yake ya Barcelona kwenda Liverpool na kuweka wazi kwamba anaitaka Arsenal huku mzee Wenger akiwa amelala usingizi wa pono.
Alexis
Sanchez is ready to throw a spanner in the works of Barcelona's attempts
to sign Luis Suarez by refusing to join Liverpool.
Barca
are keen to use the Chile international as a makeweight in their
pursuit of Suarez - but Sanchez is understood to prefer a move to rivals
Arsenal.
And Gunners boss Arsene Wenger is set to grant the South American his wish by launching a move for the attacking midfielder.

0 comments:
Chapisha Maoni