Floyd
Mayweather Jnr akiwa na mchumba Doralie Medina wake ndani ya gari lake jipya la kifahari aina ya Bugatti Veyron kwenye BET awards LA .
Mrusha masumbwi huyo wa uzito wa WBC na WBA ameendelea kula bata baada ya kumchapa msukuma masumbwi wa Argentinian Marcos Maidana mwezi wa tano mwaka huu.

0 comments:
Chapisha Maoni