Maelfu ya wapenzi na mashabiki wa soka wa
Marekani wakiongozwa na raisi wao Barack Obama wakiwa sehemu mbalimbali
hapa Rais obama akiwa na maofisa wa ikulu wakiangalia mpira eneo la Eisenhower Executive Office kwenye jengo la Washington jana jumanne kuishangilia timu yao
ilipovaana na Ubelgiji kuitafuta tiketi ya kucheza hatua ya robo
fainali ya kombe la dunia nchini Brazili lakini waliishia kulambwa mabao
2-1 na kuwaruhusu Ubelgiji kusonga mbele.
Maelfu wa mashabiki wa timu ya taifa ya marekani wakiwa wamejazana kwenye uwanja wa jeshi wa NFL Chikago kuishuhudia timu yao ikichuano na timu ya taifa ya Ubelgiji katika michuano ya kombe la dunia.

0 comments:
Chapisha Maoni