Searching...
Jumatano, 2 Julai 2014

NINATAKIWA NA TIMU NYINGI DUNIANI,ILA MAREKANI NAPAPENDA ZAIDI.

Moving on: Samuel Eto'o has left Chelsea as a free agent at the end of his contract
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea ambaye pia anaichezea timu yake ya taifa ya Cameroon Samuel Etoo amesema baada ya kumaliza mkataba wake na klabu yake hiyo sasa amepokea maombi kutoka timu mbalimbali kutoka katika nchi sita duniani,Marekani,Italia,Ufaransa,England,Hispania na Ugiriki ila bado hajafanya uamuzi japo anaipenda zaidi Marekani.
 Etoo alitarajia kuongeza mkata wa mwaka mwingine mmoja lakini kocha wa Chelsea Jose Mourinho hakufurahishwa na kiwango chake msimu uliopita ambapo ilifika wakati Mourinho alisema inawezekana Etoo amedanganya umri kwani anaonekana ni kijeba(kizee)tofauti na umri wake wa miaka 33.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!