Searching...
Jumatano, 2 Julai 2014

KIUNGO WA EVERTON ATUA RASMI LIVERPOOL

New colours: Adam Lallana poses with a Liverpool shirt after completing his £23m move from Southampton
Baada ya tetesi zilizodumu kwa muda mrefu sasa za kiungo mtaalamu Adam Lallana kutakiwa na vilabu mbalimbali hatimaye leo jumatano mchezaji huyo amemalizana na Liverpool na sasa kilichobaki ni kutoa huduma kamili kwa vijogoo hivyo vya Anfield.
Switch: Lallana has signed for Liverpool but supported Mersey rivals Everton when he was growing up
Adam Lallana baada ya kukamilisha uhamisho wake amewaambia waandishi wa habari kwamba anajisikia kama vile amezaliwa upya katika ulimwengu wa soka kwani yeye ni shabiki na mpenzi mkubwa wa Livepool na hapo anaonekana kama ametimiza ndoto yake ya miaka mingi tangu akiwa mtoto.
Watching on: Liverpool hero Carragher sits in the home end during an Everton game at Goodison Park in 2013
 Mchezaji wa Liverpool Carragher amemwagia sifa lukuki kocha wao Rodgers kwa usajili mzuri na kukiimarisha kikosi ambacho msimu uliopita kilikosa ubingwa dakika za majeruhi.
Biashara imeisha,wengine mlie tu

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!