Home
»
Unlabelled
» MESSI AENDELEA KUMUUMIZA RONALDO KOMBE LA DUNIA.
Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwa shida baada ya kwenda dakika 120 na timu ya taifa ya Switzerland baada ya dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya bila kwa bila.
Yule yule mchezaji bora wa pili wa dunia Lionel Messi aliisadia timu yake kusonga mbele katika michuano hiyo baada ya kutoa pande safi kwa Angel Di Maria ambaye bila azizi alizifumua nyavu za wapinzani na kutinga hatua ya robo fainali.
Mlinda mlango wa Swiss Diego Benaglio akichumpa kuokoa mkwaju wa De Maria pasipo mafanikio.
0 comments:
Chapisha Maoni