LIVERPOOL YALAMBA DUME,YAWAGALAGAZA MAN U,MAN CITY NA CHELSEA
Home
»
Unlabelled
» LIVERPOOL YALAMBA DUME,YAWAGALAGAZA MAN U,MAN CITY NA CHELSEA
Aliyekua mchezaji wa klabu ya Southampton Adam Lallana amesajiliwa rasmi na miamba ya soka ya England Liverpool na kumaliza kabisa uvumiwa mchezaji huyo kujiunga na vilabu vya Man U,Man City na Chelsea baada ya kumaliza vipimo vya afya na kujiunga rasmi na kambi ya kocha Rodgers kwa uhamisho wa kitita cha paundi milioni 23.
Adam Lallana akiwa katika muonekano mpya baada ya kufaulu vipimo vya afya kuitumikia klabu ya Liverpool jana jumatatu.
Adam Lallana akihojiwa na wanahabari kwa mara ya kwanza kama mchezaji wa Liverpool.
Mganga mkuu wa Liverpool Zaf Iqbal akimfanyia vipimo Lallana huko Melwood.
Mia mia kaka,karibu Infield ufurahie ulimwengu wa soka.
0 comments:
Chapisha Maoni