Floyd Mayweather Jnr amesema mipango yake
ya kuzichapa na mwanamasubwi mwenzake Marcos Maidana inaenda vizuri na
mechi hiyo itachezwa tarehe 13-09-2014huko jijini Las Vegas nchini
Marekani.
Mpambano huo kati ya Marcos Maidana na Mayweather utakua ni mpambano wa marrudiano baada ya ule wa kwanza uliochezwa mwezi wa tatu mwaka huu na Mayweather kuibuka mshindi kwa poiti.
0 comments:
Chapisha Maoni