NAJISIKIA VIBAYA MSHAMBULIAJI WANGU KUJIUNGA NA CHELSEA-KOCHA
Home
»
Unlabelled
» NAJISIKIA VIBAYA MSHAMBULIAJI WANGU KUJIUNGA NA CHELSEA-KOCHA
Mshambuliaji nguli wa klabu ya Atletico Madrid Diego Costa amemaliza uvumi wa muda mrefu kuhusiana na uhamisho wake kutoka Hispania kwenda England kujiunga na klabu ya Chelsea kwamba tayari biashara imekamilika ambapo Chelsea wamelazimika kutoa kitita cha paundi milioni 32kumnasa mshambuliaji huyo.
Diego Costa akipasha na timu ya taifa ya Hispania katika michuano ya kombe la dunia huko nchini Brazili.
Kocha wa klabu ya Atletico Madrid Diego Simeone amesema anajisikia vibaya sana kumuona mshambuliaji wake namba moja akijiunga na klabu ya Chelsea,ila amemtakia kila la kheri huko England.
0 comments:
Chapisha Maoni