Unknown 15:08 0 comments HUU NDIO UZI MPYA WA MDHAMINI MPYA WA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO Home » Unlabelled » HUU NDIO UZI MPYA WA MDHAMINI MPYA WA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO Manchester United baada ya kuboronga msimu uliopita sasa wanaanza msimu ujao na jezi mpya na kocha mpya pamoja na mdhamini mpya. Na huu ndio muonekano mpya wa uwanja wa Manchester United Old Traford Mchezaji mpya wa Man U Ander Herrera kutokea Athletic Bilbao akionyesha jezi mpya za klabu. Mchezaaji mpya wa Man U Luke Shaw naye akitambulisha jezi mpya za klabu. Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Chapisha Maoni