HIVI NDIVYO BEKI WA CHELSEA ALIVTOPOKELEWA NA TIMU YAKE MPYA ITALIA,
Home
»
Unlabelled
» HIVI NDIVYO BEKI WA CHELSEA ALIVTOPOKELEWA NA TIMU YAKE MPYA ITALIA,
Baada ya taarifa kuzagaa takribani siku tatu zilizopita kuhusu aliyekua beki wa kushoto wa Chelsea Ashley Cole kusaini timu ya Roma ya Italia hatimaye leo ametua Italia na kuwasili makao makuu ya klabu yake hiyo mpya na kusaini mkataba wa miaka miwili kukipiga na miamba hiyo ya Italia kunako ligi ya siria A.
Cole akiwa chini ya ulinzi imara kufuatia mashabiki wa klabu hiyo waliofurika klabuni hapo kumpoke.
Kabla Cole hajatua klabuni hapo timu hiyo ilituma picha yake kwenye ukurasa wake wa Twitter na kuwapagawisha mashabiki wake.
Mashabiki wa Roma wakimpiga picha Cole huku wakiwa kama vile hawaamini kile wanachokiona machoni mwao.
Ni kama vile maofisa hawa wa Roma FC wanasena,Tumemleta jamani kuweni na subira,huyu sasa ni wakwetu,Chelsea watajuta.
0 comments:
Chapisha Maoni