Searching...
Ijumaa, 20 Juni 2014

UDHALILISHAJI WAENDELEA KOMBE LA DUNIA,TIMU NYINGINE YAPIGWA 5-2

 
Timu ya taifa ya Ufaransa imeifanyia maangamizi ya kufa mtu timu ya taifa ya Switzerland baada ya kuitandika mabao 5-2 mechi iliyochezwa katika uwanja wa Arena Fonte Nova Salvador, mechi ya kundi G, Mechi iliyochezeshwa na mwamuzi Bjorn Kuipers kutoka Uholanzi. Wafungaji wa Ufaransa ni Giroud dk.17, Matuidi dk.18, Valbuena dk.40, Benzema dk.67 na Sissoko dk. 73 wakati magoli ya Switzerland yalifungwa na Dzemali dk.81 na Xhaka dk.87

0 comments:

Chapisha Maoni

:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Back to top!