Mdada mwimbaji na mchezaji wa filamu wa Nigeria Adokiye mwenye umri wa miaka 23 amesema anatamani kuitoa bikira yake kwa wapiganaji wa Boko Haram ili wawaachie mabinti wa shule zaidi ya 200 waliotekwa miezi kadhaa iliyopita.
Adokiye ni balozi wa Amani na taarifa yake kwenye mitandao ya kijamii imekuwa gumzo duniani, ni hii ni picha aliyoituma kwenye ukurasa wake wa Instagram
Kiongozi wa Boko Haram Abubakar Shekau
Hawa ndio mabinti wa shule waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram ambapo Adokiye anataka kutoa bikira yake ili mabinti hawa waachiwe huru.
0 comments:
Chapisha Maoni