Mchumba Mario Baloteli akionyesha jezi ya Mchumba wake muda mfupi kabla ya mechi kati ya Italia na Uruguay
Mtukutu Baloteli akijiandaa kutinga uwanjani kupepetana na Uruguay
Mchumba wa Balotel akiwa katika Pozi, baada ya kuongea na vyombo vya habari na kudai anampenda sana Mario na wala hajali jinsi vyombo vya habari vinavyomzungumzia na hata wengine kumbagua.
0 comments:
Chapisha Maoni