Beki kisiki aliyekua akigombewa na timu
nyingi za ulaya kama vile Liverpool,Chelsea,Man City na Real Madrib
baada ya kufanikiwa kumnasa Luke Shaw kwa kitita cha paundi milioni 31.5
na kuhitimisha uvumi wa wapi angetua msimu ujao.
Luke Shaw ametoa shukrani zake kwa mashabiki wake baada ya kutuma ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Mshambuliaji mahiri wa Man U Wayne Rooney ametuma ujumbe kwenye ukurasa wake waTwitter kumkaribisha Shaw kunako OT.
0 comments:
Chapisha Maoni