Home
»
Unlabelled
» MANCHESTER CITY WANYAKUA BEKI KISIKI KUTOKA PORTO
Hatimaye timu ya Manchester City imefanikiwa kumsajili kiungo mkabaji Mbrazili Fernando kutoka klabu ya Porto na kuhitimisha uvumi wa mchezaji huyo kujiunga na vilabu mbali mbali ulaya.
Fernando akiwa uwanjani akipambana na kiungo wa timu ya Napoli Marek Hamsik katika michuano ya klabu bingwa ulaya msimu uliopita.
Beki kisiki na kifaa kipya cha Manchester City Fernando (kulia), sambamba na beki mwenzake ambaye anawaniwa na Chelsea Eliaquim Mangala (katikati) wakiwajibika uwanjani.
Fernando akipambana na mshambuliaji wa pembeni wa timu ya Sporting Lisbon Diego Capel katika harakati za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Ureno msimu uliopita.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.