Mtoto wa mwanamuziki nguli duniani Madonna Lourdes Leon akiwasili katika viwanja vilivyokua vinafanyikia mahafali yao vya Lincoln Center New York jana jumatano na tayari binti huyu amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Michigan.
Binti wa Madonna mwenye umri wa miaka 17 akielekea kwenye mmahafali yake baada ya kuhitimu elimu yake ya sekondari katika shule ya La
Guardia Fiorella High School na anatarajiwa kuendelea na masomo ya juu ya Muziki katika chuo kikuu huko Michiga.
Binti wa Mdonna akiingia viwanja vya mahafali huku akiongea na simu....bila shaka anawasiliana na mama yake akimjulisha kwamba tayari kafika
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.