Baada ya mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay ambaye pia ndilo tegemeo la safu ya ushambuliaji ya klabu ya Liverpool Luiz Suarez A.KA mla watu kupigwa kifungo cha miezi minne kutijihusisha na soka, kocha mkuu wa Liverpool Brenda Rodgers amesema klabu yake haina mpango tena na mla watu huyo na badala yake sasa wanaelekeza macho na nguvu zao kwa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Serbia na klabu ya Benifica Lazar Markovic (pichani juu mwenye jezi nyekundu)ili kuziba pengo la Suarez mla watu.
Jumamosi, 28 Juni 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni