BINGWA WA GOLF DUNIANI KUREJEA UWANJANI,LAKINI AKIRI KIWANGO KIBOVU
Home
»
Unlabelled
» BINGWA WA GOLF DUNIANI KUREJEA UWANJANI,LAKINI AKIRI KIWANGO KIBOVU
Baabda ya mkongwe wa mchezo wa Golf duniani Tiger Woods kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu, hatimaye ameibuka na kudai kuwa pamoja na kwamba amepona na anarudi kwenye game,kamwe hatarajii kuwa katika kiwango alichokuwa nacho hapo awali kabla ya majeraha.
Woods amesisitiza kwamba atahudhuria mashindano ya Cadillac lakini hatarajii kuwa katika kiwango bora.
Woods amesema kwamba kizazi kipya cha mchezo wa Golf ni kizuri na kitampa ushindani mkubwa baada ya kurejea uwanjani kutokea kwenye majeraha.
Woods katika mchezo wake wa mwisho kabla ya kuumia
0 comments:
Chapisha Maoni