
Roger Federer amemshinda mpinzani wake seti zote na kutinga raundi ya tatu ya michuano ya Wimbledon.

Gilles Muller alijaribu lakini alionekana wazi kuzidiwa na Roger Federer na kupoteza seti zote za mchezo huo.
Mechi hiyo ililazimika kusimama kwa muda kutokana na mvua iliyokua ikinyesha uwanjani hapo katika pambano kati ya Roger Federer na Gilles Muller

Roger Federer akishangilia baada ya kumtandika mshindani wake seti tatu kwa nunge.

Gilles Muller akijaribu kuokoa mpira lakini anakosa nguvu na mpira kuishia kwenye nyavu.

Roger Federer akiruka juu juu kucheza mpira kwa ustadi wa hali ya juu sana.

Mashabiki wakifuatilia mpambano huku mvua ikiendelea kunyesha.
0 comments:
Chapisha Maoni