Searching...
Jumanne, 24 Juni 2014

ANGALIA PICHA 11 NA MAELEZO YA DAKIKA 45 KIPINDI CHA KWANZA KATI YA ITALIA NA URUGUAY

Chumba cha kubadilishia nguo cha timu ya taifa ya Italia kilivyokuwa kinaonekana muda mfupi kabla ya mechi kati ya Italia na Uruguay
 Uwanja wa Estadio das Dunas uliopo katika mji wa Natal huko nchini Brazil ukiwa umetapika na mashabiki wengi wakiwa ni wa Italia huku wa Paraguai wakiwa hawaonekani
 
Cristian Rodriguez (kushoto) na Egidio Arevalo wote wa Uruguay wakijaribu kumdhibiti Baloteli.
   Luis Suarez akigala gala chini mara baada ya kufanyia madhambi
 Mario Balotelli na Egidio Arevalo Rios wakiwania mpira wa juu katika mpambano kati ya Italia na Uruguay.
 Mtukutu Mario Baloteli akilambwa kadi ya njano baada ya kuvunja sheria za soka na kwa kadi hiyo ataukosa mchezo ujao wa kumi na sita bora.
 ou will have noticed by the pictures beneath this that one would describe the opening 37 minutes as a... err... battle.   
Mchezaji wa Uruguay Alvaro Pereira akilalamika baada ya kuchezewa madhambi na Mario Baloteli 
 
Mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini akimchezea rafu mtukutu mwingine Suarez  
Soka sio vita ila ni kama vita
ve a Luis Suarez half-chance to show for their efforts.   
Luis Suarez akijaribu kumfunga mlinda mlango wa Italia Gianluigi Buffon pasipo mafanikio
  Dakika 45 kipindi cha kwanza zimemalizika Italia O na Uruguai O,Andrea Pirlo wanabadilishana jezi na Edinson Cavani kitendo ambacho kimetafsiriwa kwamba walikipanga hata kabla ya mechi.
PICHA NA MAELEZO YA DAKIKA 45 KIPINDI CHA PILI ZITAKUJIA BAADA YA DAKIKA90 HAPAHAPA www.mchomeblog.com

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!