
Ajali
hiyo imetokea Aril 04,2014,majira ya saa nne Asubuhi katika Barabara kuu ya
Ngara-Benaco eneo la mteremko wa Kojifa mjini Ngara ambapo Dereva wa Lori hilo
amesema kuwa alikuwa akiteremka kwa mwendo wa kawaida na ndipo lilipomshinda na
kumgeuza alipo toka.Katika ajali hiyo hakuna mtu yeyete alijeruhiwa wala kupoteza
maisha..Picha Na Mdau wetu:-Boaz Zobanya-Ngara.





0 comments:
Chapisha Maoni