Searching...
Jumamosi, 1 Machi 2014

HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOWADUWAZA AL-AHLY UWANJA WA TAIFA

 Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Nahodha wao Nadir Haroub 'Canavaro', baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa leo dhidi yao na Al-Ahly ya Misri uliomalizika jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Canavaro amefunga bao hilo kufuatia mpira wa Kona iliyopigwa na Simon Msuva katika dakika ya 82. 
 Hongera Nahodha wetu.......
 Hili ndilo bao la Canavaro, Kipa wa Al-Ahly akiwa hoi chini baada ya kuchambuliwa......
 Kipa wa Al-Ahly akitafakari baada ya kufungwa bao hilo.....
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao hilo...
 Uwanja ulijaa kama hivi......
 Mashabiki wa Simba waliokuwa wakiishangilia timu ya Al-Ahly wakiendelea na zoezi la kung'oa viti kama kawaida yao

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!