Mpira
umemalizika Simba Kuchapwa Bao 1 Dhidi ya Coastal Union Mpira Ulikuwa
wa Nguvu na wakushambuliana kwa Zamu.Coastal Union Walipata Goli Kipindi
cha kwanza baada ya Kutokea Piga Nikupige Katika Lango La Simba.Simba
waliingia Kipindi cha Pili kwa Kufanya mabadiliko walielekeza
Mashambulizi Kwenye Lango la Coastal Union lakini Hawakufanikiwa Kupata
Goli lolote Hadi Mwisho wa Mchezo Simba 0 Coastal Union 1
Jumapili, 23 Machi 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni