Searching...
Jumamosi, 15 Februari 2014

RAIS KIKWETE ALIPOREJE NYUMBANI JANA AKITOKEA LONDON

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!