Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Bi. Rose Shelukindo
akisisitiza umuhimu wa zoezi la Kujiandaa na Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo.
Baadhi ya Washiriki wa zoezi la Kujiandaa na Maafa wakifuatilia maelezo ya Mpango
wa kujiandaa na Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo kutoka kushoto ni John Jordan
Mratibu i mradi CDHAM , Mhandisi. Fanuel Kalugendo-Ofisi ya Waziri Mkuu na Faith
Cooper Mratibu Mradi CDHAM.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba
(wa pili kulia), Mkurugenzi Msaidizi (Operasheni) Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri
Mkuu Nyancheghe Nanai (kushoto) na Mkurugenzi wa Masuala ya Afya USAFRICOM
wakiwa pamoja mara baada ya Uzinduzi wa zoezi la kujiandaa na maafa.
Washiriki kutoka Tanzania, Marekani, Kenya, Nigeria,Ghana na Uganda wakiwa pamoja
baada ya Uzinduzi wa zoezi la Kujiandaa na Maafa yanayofanyika kuanzia tarehe 3-
7 Februari 2014 Mjini Bagamoyo, Zoezi hilo limeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu kwa
kushirikiana na USAFRICOM na CDHAM. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Chapisha Maoni