Mchezaji wa zamani wa Chelsea kwa sasa akikipiga na klabu ya Galatasaray ya Uturuki akipambana na mabeki ama walinzi wa Chelsea katika mechi kali iliyopigwa jana usiku na timu zote kutoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya 1-1.
Mshambuliaji wa Chelsea Fernando Torress akipiga mpira uliokwenda moja kwa moja kimiani na kuiandikia Chelsea bao la kuongoza.
Mshambuliaji wa Chelsea Fernando Torress akishangilia baada ya kuipatia timu yake bao katika mechi yao ya klabu bingwa ulaya dhidi ya timu ngumu ya Galatasaray ambapo walitoshana nguvu kwa suluhu ya bao 1-1
Mchezaji
wa zamani wa Chelsea kwa sasa akikipiga na klabu ya Galatasaray ya
Uturuki akipongezana na beki wa Chelsea Ivanovic wakati wa mechi kali
iliyopigwa jana usiku na timu zote kutoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya
1-1.
Kocha wa Galatasaray Roberto Manchin akitoa maelekezo kwa vijana wake wakati wa mpambano wao dhidi ya matajiri wa London Chelsea.
Gareth Bale akishangilia goli lake la kwanza.
Wachezaji Ghali Duniani Christian Ronaldo na Gareth Bale wakishangilia moja ya magoli yao kati ya magoli sita waliowatungua Shalke 6-1 ambapo Ronaldo,Bale na Benzema walifunga magoli mawili kila mmoja na kujihakikishia kufuzu nafasi ya robo fainali ya michuano hiyo tajiri duniani.
0 comments:
Chapisha Maoni