Kiongozi wa Upinzani wa DRC Vital Kamerhe aliyeshindwa Uchaguzi 2011 atembelea Beni huko Kivu kaskazini na kulakiwa na maelfu ya watu.
Kiongozi huyo akiingia mkutanoni.
Vital Kamerhe akiwa mjini Beni tayari kuhutubia maelfu ya wakongo.
Jasiri haachi asili,wananchi wa kawaida wakirudi mangoma katika mkutano huo
Mbunge wa chama cha UNC MBINDULE MITONO akihutubia raia pa Beni Huko Kivu kaskazini akimwaga Sera mkutanoni.
Vital Kamerhe kiongozi wa chama cha upinzani UNC akimsikiliza mbunge wake kijana akimwaga sumu mkutanoni.
0 comments:
Chapisha Maoni