Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akitoka nje
ya ukumbi wa White House baada ya kumaliza mahojiano na Kamati Ndogo ya
Maadili.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassira akizungumza
na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza kuhojiwa na Kamati Ndogo
ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi,Wassira aliwaeleza waandishi kuwa
hakukuwa na tuhuma juu yake.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu ) Ndugu Stephen Wassiraakifurahia
jambo na Kada Maarufu wa CCM Ndugu Adam Soud mara baada ya kumaliza
mazungumzo na waandishi wa habari mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na
waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa
na Kamati ya Maadili.
Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akiondoka
kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na
Kamati ya Maadili.





0 comments:
Chapisha Maoni