Mwenyekiti wa
CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano akipunga mkono wakati akishuka
kutoka kwenye ndege jana jioni kwenye uwanja wa Kimataifa wa Songwe
mkoani Mbeya tayari kwa sherehe za kuzaliwa kwa CCM zitakazofanyika
tarehe 2 Februari ambapo asubuhi kutakuwa na matembezi ya mshikamano
kisha kuhitimishwa kwenye uwanja wa wa Sokoine.
Mwenyekiti wa
CCM Taifa,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Phillip
Mangula mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Songwe tayari kwa maadhimisho ya sherehe za miaka 37ya kuzaliwa Chama
Cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa
CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi Tanzania Ndugu Abdallaha Bulembo mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya tayari kwa
sherehe za kutimiza miaka 37 tangia kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa CCM
Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mbeya Mjini Ndugu
Ephraim Mwaitenda kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani
Mbeya.
Boda Boda
zikiongoza msafara wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete aliyewasili mkoani Mbeya kwa ajili
ya sherehe za miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.
Boda boda
zikiongoza msafara wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete kutoka kwenye uwanja wa kimataifa
wa Songwe.
Mwenyekiti wa CCM
Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya
Kikwete(katikati) akiwa kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM mkoa wa Mbeya
tayari kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa wa Mbeya.
0 comments:
Chapisha Maoni