Searching...
Jumatano, 26 Februari 2014

HIVI NDIVYO MCHEZAJI WA ARSENAL JOE CAMPBEL ALIVYOIUA MANCHESTER UNITED JANA USIKU.

Greece frightening! Fresh misery for Moyes and United 
Wachezaji wa Olympiakos wakishangilia moja kati ya magoli mawili katika mechi ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Manchester United jana usiku.
 Campbell wants Arsenal return after sinking United with wondergoal 
Juu na chini ni mshambuliaji wa Arsenal Joel Campbell anayechezea kwa mkopo katika klabu ya Olimpiakos akishangilia goli lake alilowafunga Manchester United katika mechi ya klabu bingwa ulaya ambapo man U walilala kwa mabao 2-0Campbell wants Arsenal return after sinking United with wondergoal 
Raha ya goli kushangilia.
 Greece frightening! Fresh misery for Moyes and United 
Kocha wa Manchester United David Moyes akitoka uwanjani kichwa chini baada ya kupokea kipigo kibaya cha 2-0 kutoka kwa Olimpiakos katika mechi kali ya klabu bingwa ulaya.
Keane: United as flat as Carrick's interview 
Kiungo wa Olympiakos Alejandro Dominguez kati kati akishangilia goli lake dhidi ya Manchester United usiku wa kuamkia hii le.
Keane: United as flat as Carrick's interview 
Nyota wa Manchester United Wayne Rooney, Michael Carrick na Robin van Persie wakiwa hoi baada ya kuchapwa goli la pili na timu ya Olympiakos ya Ugiriki.United fans despair as Cleverley starts 
Mchezaji wa mkopo wa Arsenal anayekipiga na klabu ya Olympiakos Joel Campbelbell Akiwatoka wachezaji wa Manchester United katika mechi ya klabu bingwa ulaya ambapo Man United walilala kwa magoli 2-0
CHINI : VIDEO YA GOLI LA JOEL CAMPBELL .

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!