Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano
wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana.
Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama
hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini,
ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe,
Joseph Baziry, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika mjini Kibaha jana.Picha na Chadema
0 comments:
Chapisha Maoni