Searching...
Jumatano, 19 Februari 2014

BARCELONA WAIPASUA MANCHESTER CITY 2-0 NYUMBANI KWAO.

Messi scores first goal at Premier League ground Mshambuliaji hatari wa Barcelona Lionel Messi ameisaidia timu yake kuibuka na ushindi mzuri wa ugenini lakini wa muhimu sana katika mechi ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Manchester City baada ya kuutumbukiza mpira nyavuni dakika ya 54 kwa njia ya penalti baada ya kuchezewa madhambi na beki wa City ambaye alizawadiwa kadi nyekundu.Manchester City's Martin Demichelis (right) is sent-off
Kama vile walivyosema wahenga,Ng'ombe wa masikini hazai,dakika ya 90 Daniel Alves aliihakikishia timu yake ya Barcelona ushindi baada ya kupachika bao zuri baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa city na kumpiga tobo golikipa wa City Joe Hart

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!