Baadhi
ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Arnold Nkhoma wakisaini
kitabu cha maombelezo nyumbani kwa mmoja wa mabinti wa marehemu Prof.
Alice Wamunza Nkhoma.
Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mmoja watoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch (katikati).
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mtoto wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma, Changanyikeni – Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Roy Ledama (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya waombolezaji.
Familia ya Marehemu Mzee Arnold Nkhoma pamoja na waombolezaji wakipata chakula cha mchana kabla ya kutoa heshima za mwisho.
Gari
lilibeba mwili wa Marehemu Mzee Arnold Wifred Nkhoma likiwasili
nyumbani kwa binti yake Changanyikeni, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Wajukuu
wa marehemu wakiwa wamebeba Jeneza la Babu yao kuliingiza ndani tayari
kwa heshima za mwisho kabla ya kuelekea Kanisani kwa Ibada.
Mwili wa Mzee Arnold Wifred Nkhoma tayari kwa kutoa heshima za mwisho.
Familia ya karibu ya marehemu.
Kushoto ni mabinti wawili wa Marehemu wakiwa na ndugu zao wakaribu kwenye majonzi mazito.
Vitukuu wa marehemu mzee Arnold Nkhoma.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.
Mtoto wa Marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma akitoa heshima za mwisho kwa baba yake mpendwa Mzee Arnold Nkhoma.
Mtoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch akitoa heshima kwa baba yake.
Mjukuu mkubwa wa marehemu Bi. Usia Nkhoma Ledama akitoa heshima za mwisho kwa babu yake.
Vilio na simanzi vilitawala.
Ndugu wa karibu wa marehemu wakiendelea kutoa heshima za mwisho.
Mama Usia na mjukuu wake Vanessa Roy Ledama wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu.
Mjukuu wa marehemu Bi. Sawiche Wamunza Nkhoma akitoa heshima za mwisho kwa babu yake.
Vitukuu vikitoa heshima kwa babu yao.
Pichani juu na chini ni watoto wa kiume wa marehemu wakitoa heshima za mwisho kwa baba yao.
Roy Ledama akitoa heshima za mwisho.
I love you babu…mwaaah kapumzike kwa amani….!!
Mwili wa Marehemu Mzee Arnold Nkhoma ukiingizwa katika Kanisa la Mtakatifu Andrea Magomeni tayari kwa Ibada.
Mchungaji akiendesha Ibada maalum ya kumwombea marehemu mzee Arnold Nkhoma.
Familia ya marehemu.
Ibada ya mwisho kwa marehemu Mzee Arnold Nkhoma kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Jeneza la marehemu likiteremshwa kaburini.
Pichani juu na chini familia ya marehemu ikiweka udongo kaburini.
Mtoto mkubwa wa marehemu akiweka shada la maua na mkewe kwenye kaburi la baba yao.
Prof. Alice Wamunza Nkhoma akielekea kuweka shada la maua.
Baba na Mama Usia wakiweka shada la maua.
Bi. Agnes Nkhoma Darch.
Bwana na Bibi Nkhoma wakiweka shada la maua.
Wafanyakazi wenzake Usia Nkhoma Ledama…Bi. Hoyce Temu na Bw. Phillip Musiba walijumuika kumfariji mfanyakazi mwezao.
Sehemu ya waombolezaji.
Mjukuu wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu mzee Arnold Nkhoma.
Familia ya marehemu na waombolezaji wakionekana kufurahishwa na jambo wakati wasifu wa marehemu ukisomwa.
Mjukuu
wa Mrehemu Bi. Usia Nkhoma Ledama akitoa shukrani kwa ndugu, jamaa na
marafiki walioshiriki msiba wa babu yao mpendwa mzee Arnold Nkhoma.
Familia ya marehemu ikiwasha mishumaa kwenye kaburi la mzee Arnold Wifred Nkhoma.
0 comments:
Chapisha Maoni