Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisani Kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha,
Dkt. William Mgimwa, aliyefariki dunia Januari 01, 2014 huko nchini
Afrika Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Dr. Bilal alipofika
kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, leo jioni. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa marehemu Dr. Mgimwa, Jane Mgimwa, wakati alipofika
kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, leo jioni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwafariji wanafamilia wa marehemu Dr. Mgimwa, wakati alipofika
kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, leo jioni.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete, akisaini Kitabu cha maombolezo ya kifo cha
aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa, aliyefariki dunia
Januari 01, 2014 huko nchini Afrika Kusini alikokuwa amelazwa kwa
matibabu. Dkt. Bilal alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu
Mikocheni B, jijini Dar es Salaam, 04.01.2014. Picha na OMR
0 comments:
Chapisha Maoni