Searching...
Jumapili, 5 Januari 2014

HIVI NDIVYO LIONEL MESSI ALIVYOPANDA MLIMA KILIMANJARO-TANZANIA

Messi ni mmoja kati ya masuper star waliepanda mlima Kilimanjaro, mlima mrefu katika bara la Africa mlima unaopatikana katika ardhi ya Tanzania. Mlima kilamanjaro ni moja ya vivutio vinavyoliletea taifa letu sifa na utajiri. Kwanini tusijivunie Utanzania wetu kupitia rasilimali zetu Mungu ibariki Tanzania.
PICHA na Muhsin Mukongo

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!