Rais Jakaya Kikwete, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge
wa Chalinze, kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia
juzi. Maziko ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze
Miono, Wilaya ya Bagamoyo. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe (kushoto) na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta
jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, wakati wakiwa katika
maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki
dunia juzi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Chalinze,
kwa tiketi ya CCM, Ramadhan Bwanamdogo, aliyefariki dunia juzi. Maziko
ya marehemu Bwanamdogo, yamefanyika kijijini kwake Chalinze Miono,
Wilaya ya Bagamoyo. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakiwaongoza waombolezaji kuswalia mwili wa marehemu Ramadhan
Bwanamdogo, aliyekuwa Mbunge wa Chalinze, aliyefariki juzi. Mazishi ya
mbunge huyo yamefanyika leo kijijini kwao Miono.
Rais Kikwete akitoa pole kwa waombolezaji
Waombolezaji wakiomba dua wakati wa mazishi hayo
Waombolezaji kina mama wakiwa msibani
0 comments:
Chapisha Maoni