Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa sherehe ya
kuukaribisha mwaka mpya (sherry party) aliyowaandalia wake wa mabalozi
wa nchi za nje walioko hapa nchini. Sherehe hiyo ilifanyika Ikulu.
Kiongozi
wa Umoja wa wake wa mabalozi waliopo hapa Tanzania Mama Celine Mpango,
(ambaye ni Mke wa Balozi Juma Mpango wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo) akitoa salamu zake kwa niaba ya wanajumuia hiyo wakati wa sherehe
hiyo iliyofanyika Ikulu.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mume wa Balozi wa Zambia
hapa nchini Bwana Victor Nsemiwe wakati wa sherry party aliyowaandalia
wake wa mabalozi wa nchi za nje walioko hapa Tanzania. Sherehe hiyo
ilifanyika Ikulu.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha ya pamoja na Mama Celine
Mpango (kushoto) akifuatiwa na Mama Sitti Mwinyi, Mama Khadija Mwinyi,
Mama Asha Bilal na Mama Anna Mkapa.
kuelekea mchapalo
picha ya pamoja
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mama Celine Mpango na Mama
Saha Bilal wakati wa sherry party aliyowaandalia wake wa mabalozi wa
nchi za nje waliopo hapa Tanzania huko Ikulu.
0 comments:
Chapisha Maoni